TANGAZO


Monday, February 13, 2012

Kikao cha NEC, CCM chapitisha upatikanaji Katiba mpya ya Chama

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Kushoto Mwenyekiti Mstaafu, Ali Hassa Mwinyi, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed  Shein na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Amani Abeid Karume. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Bara, Pius Msekwa na Katibu Mkuu, Wilson Mukama. (Picha zote na Bashir Nkoromo).


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akisisitiza jambo kwenye kikao hicho. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dk. Sheni na Makamu Mwenyekiti, Zanzibar, Amani Karume.



 Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti Bara, Pius Msekwa, wakifurahia jambo kikaoni.


 Wajumbe wa  NEC, kutoka Tanzania Bara, wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa na NEC.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete, Katibu Mkuu Mukama na Makamu Mwenyekiti Bara, Msekwa wakiunga mkono marekebisho ya Katiba ya CCM.


 Wajumbe kutoka Zanzibar (nyuma), wakiunga mkono marekebisho ya Katiba mpya ya CCM .


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akijenga hoja katika mkutano huo.


 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Ali Hassan Mwinyi, akifurahia jambo wakati wa kikao cha NEC mjini Dodoma jana.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, kuhusu yaliyojiri kwenye kikao hicho.

No comments:

Post a Comment