TANGAZO


Saturday, June 9, 2018

WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE WAPEWA MAFUNZO

Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) akizungumza na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati),  Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kulia) kabla ya kuanza kwa mafunzo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika Ukumbi wa Msweka Jijini Dodoma. 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwa Spika ni Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa kwaza kushoto). 
Spika mstaafu mhe. Anne Makinda akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika picha ya pamoja na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kushoto), Watumishi wa Ofisi ya Bunge na watoa Mada  (waliosimama) wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao.(Picha zote na BUNGE)

No comments:

Post a Comment