TANGAZO


Saturday, June 9, 2018

WARSHA YA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MOROGORO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu.(Picha zote na Emmanuel Ghula) 
Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Mr. Irenius Ruyobya akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu. 
Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari walioshiriki katika warsha ya siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu. 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) pamoja na Wahariri wa Vyombo vya Habari walioshiriki kwenye warsha ya siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua warsha ya siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. 

No comments:

Post a Comment