Mkurugenzi wa Jiji la Tanga
Daudi Mayeji (kushoto), wakitiliana saini ya makubaliano ya undugu na
ushirikiano wa Majiji ya Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga
Tanzania na Meya wa Jiangdu wa Jiji la Yangzhou,Zhang Tong yaliyofanyika
kwenye hotel ya Tanga Beach mjini Tanga juzi wanaoshuhudia kushoto ni
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martini Shigella.
Mkurugenzi wa Jiji la
Tanga Daudi Mayeji (kushoto), wakitiliana saini ya makubaliano ya undugu na ushirikiano wa Majiji ya
Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga Tanzania na Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou, Zhang Tong yaliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach
mjini Tanga juzi wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martini
Shigella.
Mkurugenzi wa Jiji la
Tanga Daudi Mayeji (kushoto), wakibadilishana makubaliano ya
ndugu na
ushirikiano wa Majiji ya
Yangzhou ya Jijini China na Jiji la Tanga Tanzania na Meya wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou, Zhang Tong mara baada ya kutiliana saini katika
halfa iliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach

Tanga Daudi Mayeji akimpongeza Meya
wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou, Zhang Tong mara baada ya kusaini makubaliano hayo
kwenye Hoteli ya Tanga Beach mjini Tanga katikati anayeshughudia ni Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Martini Shigella.
Mkurugenzi wa Jiji la
Tanga Daudi Mayeji (kushoto) na Meya
wa Jiangdu wa
Jiji la Yangzhou, Zhang Tong (kulia), wakibalishana makubaliano ya
ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano hayo kwenye Hoteli ya
Tanga Beach mjini Tanga katikati anayeshughudia ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martini Shigella. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga
Raha)
No comments:
Post a Comment