TANGAZO


Thursday, September 29, 2016

KONGAMANO LA WADAU WA MAFUTA NA GESI KUHUSU SERA YA UZAWA KATIKA MRADI WA LIQUIDFIED NATURAL GAS LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya dunia nchini, Bi. Bella Bird (kushoto), akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (kulia), wakati walipokutana kuzungumzia masuala ya mafuta na gesi katika sera ya mzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Daudi Manongi, Maelezo) 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng'i Issa akizungumza na akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam. 
Mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu  sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam. 
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.  
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam. 
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng'i Issa, Mkurugenzi wa Shirika la TradeMark East Afrika Bw.John Ulanga na kamishna Msaidizi wa umeme kutoka wizara ya nishati na madini Mhandisi John Luoga.

No comments:

Post a Comment