Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi mkutano wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akionyesha taarifa ya Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) baada ya uzinduzi leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.
Wajumbe waliohudhuria uzinduzi wa
Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano
(2015-2015) leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati waliokaa) akiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa taarifa ya Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na
vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na
Lorietha Laurence-Maelezo)

No comments:
Post a Comment