Maafisa
Habari na Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kilosa wakati
alipokuwa akiongea nao walipotembelea shule ya palakuyo kutoa vifaa vya kusomea
masomo ya Sayansi na kufanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima
na wafugaji.
Maafisa
Habari na Mawasiliano Serikalini wakifanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji
baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa.maafisa hao walitoa pia msaada wa
vifaa vya kusomea masomo ya sayansi.
Meneja
Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi. Sylvia
Lupembe(kushoto) akikabidhi vifaa vya kusomea masomo ya sayansi kwa mkuu wa
wilaya ya kilosa Bw.John Henjewele wakati wakati wa kampeni ya kuhamasisha
kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akigawa msaada wa vitabu
kwa watoto wa shule ya Mabwerebwere wilayani kilosa wakati walipotembelea walayani
hapo kusaidia masuala ya elimu pamoja na kufanya kampeni ya kuhamasisha kuacha
mauaji baina ya wakulima na wafugaji.
Mkurugenzi Idara ya Habari-
Maelezo, Bw.Assa Mwambene(wa tatu kushoto) akikabidhi madawati kwa watoto wa
shule ya msingi Tindiga wakati maafisa habari na mawasiliano wa serikali
walipotembelea shule hiyo kugawa madawati na kufanya kampeni ya kuhamasisha
kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji wilayani kilosa. Wengine pichani ni
Mkuu wa wilaya ya kilosa Bw.John Henjewele (wa pili kulia). (Picha zote na Daudi
Manongi)






No comments:
Post a Comment