TANGAZO


Monday, August 17, 2015

Tamasha la 'DEMOCRACY IN DAR' lafunika jiji la Dar es Salaam

*Wakazi wahamasika kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015
Wananchi waliojitokeza katika tamasha la'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. 
Msanii Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Shangwe kila kona....
Wasanii wa Bongo Movie nao waliunga mkono harakati za Mabadiliko...
Mhe.Joseph Mbilinyi akiwa na msanii wa Bongo Movie  Anti Ezekiel.
Wazee wa Isanga Family kutoka Mbeya nao hawakuwa nyuma kutoa ujumbe wao katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii AT kutokea Zanzibar akimwaga burudani katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” (kulia) akiteta jambo na wasanii wenzake Kala Jeremiah (kushoto) na Ney wa Mitego (kati) katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Show love ya wasanii...
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiwapa wananchi ujumbe katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Ney wa Mitego akitoa burudani katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Roma Mkatoriki akitoa burudani...
Msanii wa Bongo Movie Shamsa Ford naye alikuwepo kusapoti mabadiliko na kuwasisitiza wananchi wajitokeze kupiga kura.
Msanii wa Kizazi kipya, ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu  akitoa burudani tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Profesa Jay, ambaye ni mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Mikumi akiburudisha katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii wa Kizazi kipya,  Juma Nature mtoto wa Mbagala akitoa burudani tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Wasanii Nguri wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule a.k.a Profesa Jay na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu wakishow love mara baada ya kumaliza kuwapa elimu na burudani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake.
Marafiki wakifurahi mara baada ya kumalizika kwa tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment