TANGAZO


Sunday, August 23, 2015

Maalim Seif wa CUF achukua fomu ya kuteuliwa kuwania Urais wa Zanzibar

Maalim Seif akikabidhiwa fomu ya kuteuliwa kuwania Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum huko Hoteli ya Bwawani, mjini Zanzibar leo. 
Maalim Seif akionesha mkoba wenye fomu ya Urais wa Zanzibar mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar. 
Maalim Seif akifafanua jambo alipozungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama chake cha Wananchi (CUF), huko Hoteli ya Bwawani, mjini Zanzibar leo. 
Maalim Seif akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti.

No comments:

Post a Comment