TANGAZO


Tuesday, April 14, 2015

Waziri Membe akiwa nchini Kuwait kikazi leo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait, mara baada ya kumaliza kikao nae leo 14, April 2015. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait, mara baada ya kumaliza kikao cha pamoja leo 14, Aprili 2015. Kutoka kulia-kushoto ni Mhe. Prof. Abdillah Omari, Balozi wa Tanzania Kuwait mwenye makazi Saudi Arabia; Mh. Bernard Membe (wa pili kutoka kulia), Mh. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Yahya Simba, wapili ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jaseem Al Najem na Bw. Peter Noni, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) 

No comments:

Post a Comment