Naibu Katibu Mkuu Elimu TAMISEMI Bw. Zuberi Samataba akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam mpango wa Serikali kuajiri waalimu wa shule za msingi wenye elimu ngazi ya Stashahada badala ya Cheti kama ilivyo sasa. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu ajira kwa walimu wapya waliohitimu 2014/2015 na kutoa rai kwa waalimu hao kwenda kuripoti kwenye vituo vya kazi watakavyopangiwa.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini wakati wa mkutano uliofanyika
leo kwenye ofisi za TAMISEMI jijini Dar
es Salaam. (Picha na Fatma Salum (MAELEZO)
No comments:
Post a Comment