TANGAZO


Tuesday, April 14, 2015

Maalim Seif ahudhuria kesi ya Lipumba na wenzake 30 Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mwenyekiti wa chama hicho, viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, alipofika kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili mwenyekiti huyo, pamoja na wanachama wengine 30, jijini jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Magdalena Sakaya, viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, alipofika kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba pamoja na wanachama wengine 30, jijini jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na baadhi ya wanachama wa chama hicho, viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, alipofika kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba pamoja na wanachama wengine 30, jijini jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na mwanachama Ashura Mustafa, viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, alipofika kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba pamoja na wanachama wengine 30, jijini jana.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na mmoja wa Mawakili wake, wakati alipofika mahakamani hapo na baadhi ya wanachama wengine kusikilizwa kesi yao ya kuandamana bila kibali.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wao, Profesa Lipumba na wenzake 30. Hata hivyo kesi hiyo, iliahirishwa mpaka tarehe 21, mwaka huu.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wao, Profesa Lipumba na wenzake 30. Hata hivyo kesi hiyo, iliahirishwa mpaka tarehe 21, mwaka huu.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuhudhuria kusikilizwa kesi ya  kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wao, Profesa Lipumba na wenzake 30. Hata hivyo kesi hiyo, iliahirishwa mpaka tarehe 21, mwaka huu.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiingia Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kuja kusikilizwa kesi yake, inayomkabilikwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuhudhuria kusikilizwa kesi inayomkabili pamoja na wanachama 30 wa chama hicho. Hata hivyo kesi hiyo, iliahirishwa mpaka tarehe 21, mwaka huu.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto), akizungumz na Mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kuahirishwa kesi inayomkabili mwenyekiti huyo pamoja na wanachama 30 jijini jana. Hata hivyo kesi hiyo, iliahirishwa mpaka tarehe 21, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment