*Kesi yao yaahirishwa hadi Aprili 28
Kiongozi wa Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), akiwa na wenzake Makama ya Kisutu, Dar es Salaam jana, baada ya kusomewa mashtaka yao ya ugaidi. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Aprili 28, mwaka huu. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya washtakiwa wa kesi ya ugaidi kutoka Zanzibar, wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu, walikosomewa shtaka lao hilo, Dar es Salaam jana.
Kiongozi wa Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (wa pili kulia) na wenzake wakitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu baada ya kusomewa kesi yao ya tuhuma za ugaidi inayowakabili.
Sheikh Farid Hadi Ahmed (mbele) na wenzake wakitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu baada ya kusomewa kesi yao ya tuhuma za ugaidi inayowakabili.
Moja ya gari la Polisi likiwa kwenye Mahakama ya Kisutu likisubiri kuwasindikiza Kiongozi wa Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake, baada ya kusomewa kesi yao ya tuhuma za ugaidi inayowakabili.
Kiongozi wa Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed, akienda kuingia kwenye gari la mahabusu kurudi gerezani baada ya kesi yake ya tuhuma za ugaidi inayomkabili na wenzake kuahirishwa mpaka Aprili 28, mwaka huu.
Mmoja wa washtakiwa wa kesi ya ugaidi akienda kupanda gari tayari kurudishwa gerezani Segerea.
Washtakiwa wa kesi ya ugaidi wakipanda gari tayari kurudishwa gerezani Segerea.

Ndugu pamoja na Waislamu wanaofutilia kesi hiyo, wakisoma Takribir wakati washtakiwa hao wakiwa mahakamani hapo jana.

No comments:
Post a Comment