Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua
pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya
kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa
wa Pwani. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment