Mkurugenzi wa Idara ya Mafa Zanzibar
Ali Juma Hamadi akionyesha dole kufurahia mlo akiwa pamoja na Mkurugenzi
Uratibu wa Shughuli za Serikali Nd. Issa I. Mahmoud kwenye tafrija ya
mkesha wa mwaka Mpya iliyoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Sei Ali Iddi na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi wakiserebuka
wakatiu wimbo maalum wa Baba na Mwana wakiimba na chucheza ulipopigwa
kwenye tafrija ya mkesha wa mwaka mpya.Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pamoja na waalikwa mbali mbali wakisakata rumba wakati wa mkesha wa mwaka mpya hapo mazizini knyumbani kwa Balozi Seif.
Beni maalum { Maarufu mbwa kachoka } iliyorindima ndani ya Makazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ilipotimia saa 6.00 kamili ya usiku ikiashiria kuingia kwa mwaka mpya wa 2015 huku wana tafrija wakifanya vitu vyao kuuaga mwaka 2014.
Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pamoja na waalikwa mbali mbali wakisakata rumba wakati wa mkesha wa mwaka mpya hapo mazizini knyumbani kwa Balozi Seif.
Balozi Seif akiagana na Mwakilishi wa
Jimbo la Kwamtipura Mh. Hamza Hassan Juma mara baada ya kukamilika kwa
tafrija ya mkesha wa mwaka mpya wa 2015 hapo nyumbani kwake Mazizini. Nyuma ya Mhe. Hamza ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dr. Khalid Salum Mohamed.(Picha zote na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ)
No comments:
Post a Comment