Gari ya Kampuni ya Mecco ikimwaga lami katika mashine maalumu ya kuchawanyia lami hiyo, katika barabara ya Konde-Wete kama wanavyoonekana wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa kazini.(Picha zote na Abdi Suleiman, PEMBA)
Gari maalumu ya kutandazia lami ya kampuni ya Mecco, ikiwa kkazini katika barabara ya Konde-Wete, kama inavyoonekana kazi hiyo ikiwa inaendelea kwa kasili, ili kukamilika kwa barabara hiyo.
Gari maalumu ya kuweka sawa lami kutoka katika kampuni ya Mecco ikiweka lami hiyo, katika barabara ya Konde-Wete kama ilivyokutwa na mpiga picha.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi akipata maelekezo ya hali ya uwekaji wa lami katika barabara ya Konde- Wete, kutokana kwa msimamizi wa Ujenzi wa Kampuni hiyo Abdulkadir Mohammed Bujet, wakati alipotembelea na kuangalia hali ya barabara hiyo inavyokwenda.
No comments:
Post a Comment