TANGAZO


Tuesday, October 14, 2014

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal awaongoza wananchi wa Sengerema kumzika marehemu Dk. Shija

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014. (Picha zote na OMR)

 Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe. Anne Makinda,  akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika Kijijini kwa marehemu, Nyampande Wialaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza jana, Oktoba 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bialal, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika Kijiji ch Nyampande Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza jana, Oktoba 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, Kijiji cha Nyampande Wilaya ya Sengerema, jana Oktoba 13, 2014. Kulia ni Mbunge wa Ilala, Dar es Salaam, Mussa Zungu.

No comments:

Post a Comment