TANGAZO


Saturday, August 16, 2014

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yafanya Semina kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa Ebola


Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti na Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Janneth Mahamba, akizungumza na wanahabari kwenye semina hiyo.
Mtalaamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elibariki Mwakapaje, akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamwaja akitoa ufafanuzi mbalimbali kwa wanahabari kuhusu jinsi wanavyopaswa  kuandika habari za afya hasa zinazohusu magonjwa ya mlipuko bila kuathiri maeneo mengine.
Mtalaamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elibariki Mwakapaje, akitoa maelezo mbalimbali kwa wanahabari kuhusu ugonjwa huo katika semina hiyo ya siku moja iliyofanyika Hoteli ya New Afrika Dar es Salaam leo.
Mtaalamu wa  Ufuatiliaji na Udhibiti wa Magonjwa ya Kuambukiza kutoka MOHSW, Dk. Vida Mmbaga akifafanua jambo kwenye semina hiyo. Kulia ni Ofisa Mawasiliano-Idara ya Kinga katika wizara hiyo, Said Makora na Ofisa Afya Mkuu wa Wizara hiyo, Chacha Mung'aho.
Ofisa Afya Mkuu wa Wizara hiyo, Chacha Mung'aho (kushoto), akisisitiza jambo kwenye semina hiyo.
Mtaalamu wa  Ufuatiliaji na Udhibiti wa Magonjwa ya Kuambukiza wa MOHSW, Dk. Vida Mmbaga akifafanua jambo kwenye semina hiyo. Kulia ni Ofisa Mawasiliano wa  wizara hiyo, Said Makora na Ofisa Afya Mkuu wa Wizara hiyo, Chacha Mung'aho.
Ofisa Mawasiliano-Idara ya Kinga katika wizara hiyo, Said Makora akijibu maswali ya wanahabari. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Mwanahabari Maulid Kambaya kutoka Kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One (katikati), akiuliza swali na kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Ebola baada ya kufanya uchunguzi na wenzake  katika maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam.
Wanahabari Lenatus Mtabuzi (kushoto), Jimmy Mfuru na John Liveti (kulia) wakijadiliana kuhusu ugonjwa huo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.

Wanahabari wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa kuhusu ugonjwa wa Ebola.
Mtalaamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elibariki Mwakapaje (mbele), akitoa mada katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment