| Hawa ni raia wa Ethiopia ambao walikamatwa Makambako Njombe jana. |
| Hapa wakipata chai baada ya kukamatwa. |
| Hivi ndivyo walivyokuwa wakiishi katika lori hilo. |
| Hili ndilo lori lililokuwa likiwasafirisha na dereva wake kukimbia. |
| Ofisa Uhamiaji Njombe, akiwapa chai wahamiaji hao. |

No comments:
Post a Comment