TANGAZO


Tuesday, July 29, 2014

CDA yavunja nyumba 18 Kitongoji cha Msangalale Dodoma

Watoto wakiwa wanaangalia vitu vya ndani, vilivyokusanywa pembeni mwa nyumba iliyobomolewa na Tingatina la Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) jana, ambapo jumla ya nyumba 18 zilibomolewa katika kitongoji cha Msangalale, Kata ya Makulu, Manispaa ya Dodoma.
Wakazi wa Kitongoji cha Msangalale, Kata ya Makulu, Manispaa ya Dodoma, wakiwa wamekaa chini ya mti kwa huzuni pamaoja na samani za ndani ya nyumba zao, muda mfupi baada ya nyumba hizo, kubomolewa na Tingatinga la Mamlaka ya ustawishaji wa mji wa Dodoma (CDA), mjini Dodoma jana.
 Mifuko ya karanga na mazao mengine pamoja na samani za ndani  zikiwa zimeangukiwa na kifusi cha nyumba iliyobomolewa na Tingatinga la CDA waliowataka kuhama ili kupisha Barabara.
Mifuko ya karanga na mazao mengine pamoja na samani za ndani  zikiwa zimeangukiwa na kifusi cha nyumba iliyobomolewa na Tingatinga la CDA waliowataka kuhama ili kupisha Barabara. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:

Post a Comment