TANGAZO

Tuesday, July 29, 2014

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal aongoza Swala ya Idd el Fitri jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia mamia ya waumin wa Dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo  asubuhi. (Picha zote na OMR)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia mamia ya waumin wa Dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo  asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment