TANGAZO


Tuesday, July 29, 2014

Rais Kikwete ahuduria Swala ya Idd el Fitri Msikiti wa Al Maamour Upanga jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati alipokuwa akiwasalimia waumini wa Dini ya Kiislamu, mara baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri katika Msikiti wa El Maamour, Upanga, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Imamu wa msikiti huo, Sheikh Issa Othaman Issa. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Rais Jakaya Kikwete, akitoka nje ya Msikiti baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri katika Msikiti wa Al Maamour, Upanga, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na mmoja wa waumini wa Dini ya Kiislamu ndani ya msikiti huo, baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri, Upanga, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akitoka nje ya Msikiti baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri katika Msikiti wa Al Maamour, Upanga, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akipeana mikono ya kutakiana heri ya Sikukuu ya Idd el Fitri na vijana waumini wa Dini ya Kiislamu, mara baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri katika Msikiti wa Al Maamour, Upanga, Dar es Salaam leo. 
Rais Jakaya Kikwete, akipeana mikono ya kutakiana heri ya Sikukuu ya Idd el Fitri na waumini wa Dini ya Kiislamu, mara baada ya kuswali Swala ya Idd el Fitri katika Msikiti wa El Maamour, Upanga, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment