TANGAZO


Saturday, May 31, 2014

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo baada ya bejeti ya Nishati na Madini kupita

PG4A1195 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) na mkewe, Bertha Mamuya (kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo, kupitishwa na Bunge Mjini Dodoma, jana Mei 30, 2014. Wengi ni mabinti wa waziri huyo, Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter. 
PG4A1185
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri, Nyasige Sospeter (kushoto) na Bertha Kimariyo. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment