Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani,
wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti
ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa
kupandwa katika eneo hilo. (Picha zote na OMR)
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akipanda mti katika eneo la Kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya
mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo
hilo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiumwagia maji mti alioupanda katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga
Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira
Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la msingi baada ya kupanda mti katika eneo la Kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya
mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo
hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi wa kambi ya JKT Ruvu
baada ya kupanda miti.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango
maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
No comments:
Post a Comment