Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga,Tabora. Katika ziara hiyo Kinana ataimarisha uhai wa chama, atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM pamoja na kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wednesday, May 7, 2014
Kinana kuanza ziara ya siku 26 Mikoa ya Tabora, Singida na Manyara
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya waandishi wa habari Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam leo, watakaokuwa katika ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga, Tabora. (Picha zote na Richard Mwaikenda)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga,Tabora. Katika ziara hiyo Kinana ataimarisha uhai wa chama, atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM pamoja na kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga,Tabora. Katika ziara hiyo Kinana ataimarisha uhai wa chama, atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM pamoja na kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment