Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman jijini Arusha leo, wakati alipofika kwa ajili ya kuufunga Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ), unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC). Nyuma ya Mh. Chande ni Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mh. Omar Othman Makungu.
No comments:
Post a Comment