TANGAZO

Tuesday, April 1, 2014

Viongozi wa Mkoa wa Dodoma waendelea kutoa rambirambi kifo cha Askofu Godfrey Mdimi

Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Tano (5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma (1989 - 2004), Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo kilichokea Alhamis, Machi 27, 2014, huko nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa, mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi, April 5, 2014, Kanisa Kuu la Anglican Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Lephy Benjamin Gembe akitia saini kitabu  cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Tano wa(5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma  (1989-2014), Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo, kilichokea Alhamis Machi 27, 2014, nchini Afrika Kusini, alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi, April 5, 2014, katika Kanisa Kuu Anglican Dodoma. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:

Post a Comment