TANGAZO


Tuesday, April 1, 2014

Kocha wa ngumi, Super D, amnoa Juma Biglee kwa mpambano wake wa Aprili 15 Chalinze mkoani Pwani


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia), akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Juma Biglee, wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi ya Ilala, Amana CCM, Dar es Salaam jana. (Picha zote kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com)

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia), akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Juma Biglee, wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi ya Ilala, Amana CCM, Dar es Salaam jana. Biglee anajiandaa na mpambano wake april 15, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment