TANGAZO


Tuesday, April 1, 2014

Mwili wa Rose Mwagala aliyefariki kwa kushambuliwa na nyuki wazikwa

 Muonekano wa mwili wa marehemu Rose Mwagala aliyefariki kwa kushambuliwa na nyuki katika Kijiji cha Swaswa, Manispaa ya Dodoma juzi. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
Mmoja wa ndugu wa marehemu Rose Mwagala, akilia wakati, ndugu, jamaa na marafiki, walipokuwa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu huyo, aliyefariki kwa kushambuliwa na nyuki Kijijini kwao, Swaswa, Manispaa ya Dodoma juzi. 
Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa msiba wa marehemu Rose Mwagala aliyekufa kutokana na kushambuliwa na nyuki walioweka makazi yao kwenye paa la nyumba jirani na makazi yake.
Watu mbalalimbali wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi, alilozikwa marehemu Rose Mwagala, aliyefariki kwa kushambuliwa na nyuki katika Kijiji cha Swaswa, Manispaa ya Dodoma juzi.

No comments:

Post a Comment