Waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa Mabina.
Umati wa waombolezaji ukiwa katika maombolezo hayo.
Watawa hawa nao hawakubaki nyuma katika kuhitimisha safari ya mwisho ya Clement Mabina (26) leo.
Watoto wa marehemu Clement Mabina, wakifuatilia mazishi ya baba yao
Catherine Mabina (kulia), akiwaongoza wadogo zake, Ruth na Adela pamoja na waume zao kuweka shada la maua kweny kaburi la marehemu Mabina.
Mjane wa marehemu Clement Maina, Judith Abel akiweka shada kwenye kaburi la mumewe baada ya kuzikwa huko Kanyama shambani kwake.
Mjane wa marehemu Clement Maina, Judith Abel akiweka shada kwenye kaburi la mumewe baada ya kuzikwa huko Kanyama shambani kwake.
Watoto mrehemu Mabina, Gregory (kulia), wa pili ni Catherine, wapili kutoka kushoto ni Ruth na Adela (wa kwanza kushoto) wakifuatilia mazishi hayo ya baba yao.
Mwenyekiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja akiweka udongo kwenye kaburi la Mabina.
Balozi Getruda Mongella, RC Mwanza Evarist Ndikilo na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Charles Kitwanga wakitia udongo kaburini kwa marehemu Mabina.
Wairi wa Ujenzi Jophn Magufuli, akitupia udogo kwenye kaburi la Mabina leo. Kulia ni Stephen Wassira.
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, wakilibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mabina.
Vijana wa CCM, wakiimba nyimbo za maombolezo.
Waombolezaji wakilishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Mabina kwenye kaburi.
Gregory Mabina akipokea shada pamoja na wadogo zake, Abel na Alex kwa ajili ya kuweka kwenye kaburi la marehemu baba yao.
No comments:
Post a Comment