Mchezaji Emmanuel Okwi (katikati), akilakiwa na wapenzi wa timu ya Yanga alipowasili jioni hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.
Mashabiki wa Yanga wakimlaki Emmanuel Okwi (wa pili kulia mbele), baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uganda. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.

Mashabiki wa Yanga wakiwa wamelizunguka gari alilokuwa amepanda Emmanuel Okwi baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uganda. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamelizunguka gari alilokuwa amepanda Emmanuel Okwi na kumpungia, baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uganda. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.

No comments:
Post a Comment