Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). (Picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment