TANGAZO


Sunday, November 3, 2013

Mahafali ya Shule ya Sekondari ya Agape, Mbagala jijini Dar es Salaam, yalivyofana

 
Meza Kuu, ikiongozwa na mgeni rasmi katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ya Agape, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige (katikati), ikiwa tayari kwa kutoa zawadi na vyeti kwa washindi katika nyanja mbalimbali za masomo, michezo, uongozi na nidhamu shuleni hapo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa, Mwenyekiti wa bodi ya Shule, Alice Matembele na Mkuu wa Shule ya Agape, Rabson Fungo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)




Juu na Chini, mgeni rasmi katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ya Agape, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige, akitoa zawadi na vyeti kwa washindi mbalimbali katika nyanja mbalimbali za masomo, michezo, uongozi na nidhamu shuleni hapo katika mahafali hayo.




Mshindi wa masomo ya Physics na Mathematics, mhitimu Denis Joseph, akipokea cheti na zawadi zake kutoka kwa mgeni rasmi, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Mshindi wa masomo ya Physics na Mathematics, mhitimu Denis Joseph, akimpa mkono, Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa.

Hapa ni mmoja wa wahitimu aliyefanya vizuri katika moja ya nyanja za masomo, akipokea cheti na zawadi.
Hapa mhitimu Salma Rashid akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, 2013 kutoka kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Apolinary Lucas, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, 2013 kutoka kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Eric Rugaituka, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, 2013 kutoka kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Idd Hamisi akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, 2013 kutoka kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Petro Mwalongo, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, 2013 kutoka kwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige.
Mkuu wa Shule ya Agape, Rabson Fungo, akiongea katika mahafali hayo.
Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa, akiongea katika mahafali hayo.
Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa, akiongea katika mahafali hayo.
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige, akizungumza wakati wa mahafali ya Shule ya Sekondari ya Agape, Mbagala, Dar es Salaam hivi karib. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa, Mwenyekiti wa bodi ya Shule, Alice Matembele na Mkuu wa Shule ya Agape, Rabson Fungo.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne, wakifurahia jambo na kupiga makofi.
Wahitimu wa kidato cha nne, wakifurahia jambo na kupiga makofi katika mahafali yao hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu hao, wakiwa katika hali ya tabasamu, wakati mgeni rasmi, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige, akizungumza nao.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ya Agape, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige (kulia), ikiwa na Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Dk. Fred Msemwa (kushoto) na Mwenyekiti wa bodi ya Shule, Alice Matembele, wakiangalia maigizo na burudani za nyimbo wakati wa mahafali hayo. 
Wanafunzi wa Kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Agape, Mbagala, Dar es Salaam, Loveness Hazali (kushoto) na Sophia Mrope, wakiimba moja ya nyimbo za shule hiyo, wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ya Agape, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige, akipiga picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne, wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 7 ya Shule ya Sekondari ya Agape, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Msalala, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige, akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule hiyo, wakati wa mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment