TANGAZO


Saturday, August 17, 2013

Yanga yatwaa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Yaipiga Azam FC bao 1-0


John Bocco wa Azam FC, akijaribu kuudhibiti mpira huku akizongwa na beki wa Yanga, Kelvin Yondani, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda bao 1-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk www.bayana.blogspot.com)


John Bocco wa Azam FC, akijaribu kuudhibiti mpira huku akizongwa na beki wa Yanga, Kelvin Yondani, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda bao 1-0.
Mcha Khamis wa Azam FC, akiwania mpira na David Luhende, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda bao 1-0. 


 Kelvin Yondani akiwa amelala chini akitibiwa baada ya kugongana na John Bocco wa Azam FC.
 Ubao wa matokeo ukionesha matokeo ya mchezo huo, uwanjani hapo.
 Kelvin Yondani akitolewa nje baada ya kugongana na John Bocco pamoja na golikipa wa timu hiyo, Ali Mustafa 'Bartez' katika mchezo huo.
Salum Aboubakari wa Azam FC (kushoto), akizuiya mpira mbele ya Didier Kavumbagu wa Yanga na David Luhende.
 John Bocco wa Azam FC, akimtoka Mbuyu Twite wa Yanga katika mchezo huo.
 Salum Aboubakari wa Azam FC, akijaribu kumhadaa David Luhende wa Yanga
Mcha Khamis wa Azam FC, akiwania mpira na David Luhende, wakati wa mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda bao 1-0. 
 Didier Kavumbagu wa Yanga, akimtoka David Mwantika wa Azam FC.
  Didier Kavumbagu wa Yanga, akimtoka David Mwantika wa Azam FC.
  Didier Kavumbagu wa Yanga, akimtoka David Mwantika wa Azam FC katika mchezo huo.
 Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akiwavalisha medali za shaba wachezaji wa Azam FC.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (UtawalaBora),George Mkuchika,  akiwavalisha medali za shaba wachezaji wa Azam FC.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akiwavalisha madali wachezaji wa Yanga.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimvalisha madali. medali Mbuyu Twite.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akiwavalisha madali wachezaji wa Yanga.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimkabidhi Ngao ya Jamii Nahodha wa timu ya Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', baada ya kufanikiwa kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo, ikiwa ni kuashiria ufunguzi rasmi wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Nahodha wa timu ya Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akiinyanyua juu Ngao ya Jamii, mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, baada ya kufanikiwa kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo, ikiwa ni kuashiria ufunguzi rasmi wa Ligi Kuu ya Vodacom. 

No comments:

Post a Comment