Rais Jakaya Kikwete (wa tano kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya ufunguzi wa mkutano wa 33 wa SADC uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu, mjini Lilongwe Malawi jana.Wengine katika picha kutoka kushoto msitari wa mbele ni Naibu Waziri Mkuu wa Namibia, Marko Hausiku, Makamu wa Rais wa Zambia Dk. Guy Scott, Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC), Rais Joyce Banda wa Malawi, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dk. Tomaz Salomao, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, na Rais Ian Khama wa Botswana. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment