Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (katikati), akiwapungia mashabiki wake mara baada ya kuvalishwa taji hilo, huku akiwa pamoja na mshindi wa pili Alice Isack (kulia) na mshindi wa tatu, Clara Bayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Warembo wakiwa katika shoo, kabla ya kuchuana kupita kwa staili mbalimbali katika mchuano wao wa kuwania mrembo wa Redd's Miss Ilala, ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Warembo wote walioshindana katika mchuano huo, wakiwa wamejipanga wakati wa kutangazwa washindi watano bora.
Warembo walioingia tano bora, wakipozi kabla ya kuanza mchuano wa kujibu maswali.
Sehemu ya umati wa wapenzi wa masuala ya urembo wakishuhudia mpambano huo uliofanyika Ukumbi wa Golden Jubilee, Dar es Salaam.
Mdau wa urembo akiwa amepagawa baada ya kutangazwa washindi
Mashabiki wakishangilia walipokuwa wakishuhudia mpambano huo
Wadau wa mambo ya urembo wakishangilia.
Wapenzi wa masuala ya urembo wakishuhudia mashindano hayo
Bendi ya Tanzania House off Talent (THT) IKITUMBUIZA
Malkia akiwa pamoja na washindi wengine wanne
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Butallah akimkabidhi Malkia wa mashindano ya Redd's Miss Ilala, Dorice Mollel, zawadi ya sh. mil 1.5 baada ya kutangazwa mshindi.
Wapenzi wa urembo wakicheza muziki aina ya kwaito baada ya mashindano ya kumsaka Malkia wa Redd's Miss Ilala, Dar es Salaam
Watu mbalimiga picha na Malkia

No comments:
Post a Comment