TANGAZO


Friday, August 16, 2013

Rais Kikwete na mkewe, Mama Salma waomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu mstaafu, Abel Mwaisumo

IMG_0778

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku mkewe, Mama Salma, akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na kuwafariji wafiwa kwa msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu, marehemu Abel Mwaisumo, aliyefariki juzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es Salaam leo, Agosti 16, 2013.
IMG_0785
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo  kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013.
mwesi1 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa  kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013.
mwesi2 (1)mwesi2
Mama Salma Kikwete akifariji wafiwa wakati yeye na Rais Kikwete walipokwenda kuomboleza na kutoa pole kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013.
mwesi19
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiomboleza na kufariji wafiwa  katika  msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013.
mwesi21
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu mstaafu wa Ikulu, Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa akitibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013. (Picha zote na IKULU)

No comments:

Post a Comment