TANGAZO


Friday, August 16, 2013

Waziri Mkuu Pinda afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TPSF


Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo, Agost 16, 2013. (Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0191
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo, Agost 16, 2013. IMG_0198
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo, Agost 16, 2013. IMG_0201
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifugua  Mkutano  Mkuu na Mkutano wa mwaka wa Tanzania Private  sector Foundation (TPSF) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Agosti 16,2013. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu na katikati na Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Gosfrey Simbeye.IMG_0256
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  washiriki wa Mkutano wa mwaka na Mkutano Mkuu wa TPSF baada ya kuugungua  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, Agost 16,2013.

No comments:

Post a Comment