Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamevalia nguo za kimapambano wakati wakilinda mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa katika eneo la Kiomboi, Wilaya ya Iramba, Singida. (Picha zote na Joseph Senga)
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Muleba mkoani Kagera, wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika kwenye Uwanja wa Red Cross.
Sanjenti mstaafu akitoa maoni Kiomboi-Singida.
Dk. Slaa akihutubia mkutano-kiomboi.
No comments:
Post a Comment