TANGAZO


Saturday, July 13, 2013

Tanzania yapigwa 1-0 na Uganda, Kufuzu kwa Michuano ya CHAN Afrika Kusini 2014, Uwanja wa Taifa


Mchezaji John Bocco (kulia) wa Taifa Stars akiwania mpira na Kasaga Richard wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes'katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Mchezaji John Bocco (kulia) wa Taifa Stars akiwania mpira na Kasaga Richard wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes'katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uganda imeshinda bao 1-0
 Kocha wa timu ya Uganda Micho akiwapa mawaidha wachezaji wake
 Sehemu ya umati wa wapenzi wa soka ulioshuhudia mechi hiyo
 Mchezaji wa Uganda akiwa chini baada ya kuumia
Mchezaji wa Taifa Stars, Haruni Chanongo (katikati), akiwa katika harakati za kuwania mpira na Wadada Nico wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Poulsen (kushoto) akiwa hoi pamoja na mwenzie  baada ya mechi dhidi ya Uganda kumalizika na kufungwa bao 1-0.
 Wapenzi wa Uganda wakiishangilia timu yao
Wachezaji wa Uganda wakishangilia ushindi baada ya mechi kumalizika.
Wachezaji wa Uganda wakishangilia ushindi wao huo.
Baada ya mchezo kumalizika ubao wa matangazo ulikuwa unaonesha hivi.  (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment