TANGAZO

Tuesday, April 30, 2013

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein afanya ziara ya Kichama Wilaya ya Kusini Unguja

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, akizungumza na wanachama wa Chama hicho,

alipotembelea tawi la CCM Bwejuu, Kaskazini na kupatiwa 

historia ya tawi hilo, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama leo. 

(Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed 

Shein, akisalimiana na viongozi mbalimbali wa tawi la CCM 

Bwejuu, Wilaya ya Kusini Unguja leo, alipokuwa katika 

ziara ya kuimarisha Chama chake, Mkoa wa Kusini Unguja. 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa tawi la CCM 

Bwejuu, Ameir Ali Jaku (wa pili kushoto), wakati alipotembelea 

tawi hilo, akiwa katika ziara ya kuimarshaji wa chama chake

Mkoa wa Kusini Unguja.

Vijana wa CCM wa Kijiji cha Bwejuu, wakiimba wimbo maalum 

wa kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM  Zanzibar, Rais 

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, alipotembelea tawi la CCM la kijiji hicho, 

akiwa katik ziara yake ya kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini 

Unguja leo.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa tawi la CCM Bwejuu,
Kaskazi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea 

tawi lao, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Mkoa wa 

Kusini Unguja leo.

Diwani wa CCM, Shehia ya Bwejuu, Juma Mussa Mkali, akisoma
risala ya wanachama wa CCM, tawi la Bwejuu, Kaskazini Unguja, 

mbele ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa 

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, alipofanya ziara ya kutembelea tawi hilo leo, 

akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama chake, Chama Cha 

Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na 

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM, tawi la  

Bwejuu, Yussuf Hassan, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama 

Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kusini Unguja leo. 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed 

Shein, akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM wa Tawi 

la Bwejuu,Yusra Suleiman Msabah, akiwa katika ziara ya 

kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akimkabidh kadi mwanachama mpya, Chipukizi wa CCM, 

Halima Abdalla, katika tawi la CCM la Bwejuu, akiwa katika 

ziara ya kuimarisha Chama chake, Mkoa wa Kusini Unguja. 

Wanachama wapya wa CCM, wakilakiapo cha utii kwa Chama
cha Mapinduzi baada ya kukabidhiwa kadi zao za Chama na 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na 

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Kusini 

Unguja leo. 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa tawi la 

CCM, Mzuri, Wilaya ya Kusini Unguja, alikiwa katika ziara ya  

kuimarisha Chama leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa tawi la 

CCM Mzuri, Wilaya ya Kusini Unguja, alipofanya ziara ya 

kuimarisha Chama leo.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa tawi la CCM Bwejuu,
Kaskazini, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza, wakati alipotembelea 

tawi lao, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa  

Kusini Unguja leo.

Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Wilaya na Mkoa wa Kusini Unguja, wakiwemo wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, aliyoifanya katika Mkoa huo, mkutano ulifanyika leo, ukumbi wa Shule ya Makunduchi. 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na 

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM wa Mkoa wa 

Kusini Unguja katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake,

aliyoifanya katika Mkoa huo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, 

ukumbi wa Shule ya Makunduchi. 

No comments:

Post a Comment