Waombolezaji wakilipeleka jeneza lenye mwili wa Hajjy Mohamed kwenye boti ya Kilimanjaro tayari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Zanzibar kwa mazishi. (Picha zote na Othaman Maulid wa Zanzinews)
Meneja wa Kampuni ya Boti ya Azam Marine Hussein na wafanyakazi ya Ubebaji wa mizigo katika bandari ya Dar-es-Salaam wakibeba jeneza la Marehemu Haji Mohamed, kwa ajili ya kuupakia katika Boti ya Kilimanjaro 2.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Bandari ya Dar-es-Salaam wakiuanga mwili wa Marehemu Haji Mohammed katika bandari ya Dar-es-Salaam, ukisafirishwa kwenda Zanzibar kwa Mazishi.
Baadhi ya wasanii na wapenzi wa Muziki wa Taraab wa Dar-es- Salamaa, wakiushindikiza mwili wa Msanii Mkongwe wa Muziki wa Taarab Tanzania Haji Mohammed katika bandari ya Dar-es-Salaam ukisafirishwa na Boti ya Kilimanjaro 2, kwa ajili ya mazisha kisiwani Zanzibar .
No comments:
Post a Comment