Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (kushoto), akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi wa Tanzania Standard Newspapers (TSN), leo jijini Dar es Salaam, alipowatembelea ili kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Shirika la Magazeti ya Serikali. Wengini ni Mwenyekiti wa Bodi ya TSN, Profesa Moses Warioba (wa pili kulia), Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Gabriel Nderumaki (wa pili kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.
|
No comments:
Post a Comment