TANGAZO


Monday, January 28, 2013

Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema katika picha leo, Diamond Jubilee, Dar es Salaam

 

Mbunge wa Ubungo John Mnyika, akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema, kilichofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo.
 
Mbunge Kigoma, Zitto Kabwe akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kutoka mkoa wa Mtwara.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, akiwa amepozi na baadhi ya wajumbewa mkutano huo. 
Wajumbe kutoka Mkoa wa Mbeya wakiangalia makabrasha yao kwenye mkutano huo.
 
Wajumbe wa Mkoa wa Mtwara wakiwa katika mkutano wao huo, jijini leo.
 
Baadahi ya wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao hicho.
 

Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wakisalimiana.
Mmoja wa wananchama wa chama hicho, akienda kuwagawiya makabrasha wajumbe wa mkutano huo, wa dharura leo.
 
Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei akiingia katika ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, wakisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.
Wajumbe wa mkutano huo, wakipeperusha bendera za chama chao, wakati viongozi wa kitaifa wa Chadema walipokuwa wakiingia ukumbini kuanza kikao cha dharura leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wakifurahia jambo.
 
Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
Viongozi wa Kitaifa,wakishangilia jambo kwenye mkutano huo leo.
 
Wajumbe wa Kamati Kuu, wakiwa kwenye mkutano hupo leo.
Wajumbe wa mkutano huo, wakiitikia slogan ya Chama hicho ya People Pewer, wakati viongozi wakuu walipokuwa wakiingia kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.
Pokea katiba ya chama cha Chadema, akiwa na Katiba ya Chama hicho.
Bidhaa mbalimbalio zenye nembo ya Chadema zikiuzwa nje ya ukumbi wa Diamond Jubilee leo. (Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto)

No comments:

Post a Comment