TANGAZO


Friday, January 4, 2013

Wazee wa Sebuleni wajengewa Kituo cha Afya

 

Akina Mama wa Majimbo ya Magomeni na Amani

wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi

Seif Ali Iddi (hayupo pichani), wakati wa hafla ya uwekaji

wa jiwe la msingi la Kituo cha nyongeza cha Afya, Sebleni

kilichopo kwenye nyumba za Wazee.

Akinamama wakiwa wamekaa kwa utulivu wakimsikiliza wa Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd, wakati wa uwekwaji wa jiwe la msingi la kituo hicho.

No comments:

Post a Comment