TANGAZO


Friday, January 4, 2013

Rais Kikwete aonana na Mshauri wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Ikulu, jijini Dar es Salaam

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Januari 4, 2013. Kushoto mbele ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi na wengine ni Maofisa waandamizi wa JWTZ na Umoja wa Mataifa.
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu, jijini Dar es Salaam leo Januari 4, 2013. Kushoto mbele ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi na wengine ni Maofisa waandamizi wa JWTZ na Umoja wa Mataifa.
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa, Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu, jijini Dar es Salaam leo, Januari 4, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment