TANGAZO


Friday, January 4, 2013

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd afungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Taifa la Chakula na Lishe Zanzibar

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Chakula na Lishe Zanzibar

ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi

Seif Ali Iddi akifungua Mkutano wa kwanza wa Baraza hilo

uliofanyika Zanzibar leo.
Mtaalamu wa Kilimo Mastura Kassim, akitoa mada ya

mfumo wa utekelezaji wa masuala ya uhakika wa chakula na

lishe kwenye mkutano wa kwanza wa Baraza la Taifa la

uhakika wa chakula na lishe mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Chakula na lishe

wakiwa katika Mkutano wao wa kwanza wa baraza hilo

uliofanyika Migombani Mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment