TANGAZO


Friday, January 4, 2013

Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete waenda kutoa pole nyumbani kwao Sajuki

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka saini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa msanii wa filamu, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo.  Januari 4, 2013. (Picha zote na Ikulu)
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, Tabata Bima jijjini Dar es Salaam leo, ambako walienda kutoa pole.
 
 
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, nyumbani kwa wafiwa, Tabata Bima jijini, Dar es Salaam leo, Januari 4, 2013.
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka saini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa msanii wa filamu, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, Tabata Bima, jijjini Dar es Salaam leo Januari 4, 2013.

No comments:

Post a Comment