Rais Jakaya Kikwete afanya mazungumzo na Rais Kabila, Ikulu jijini Dar es Salaam, amsindikiza kurejea nyumbani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kabla ya kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni, Januari 30. 2013. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam jioni hii, ya Januari 30. 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam jioni hii, Januari 30. 2013.
No comments:
Post a Comment