Daraja la Umoja linalojengwa kuunganisha Kata ya Nyabibuye, Kakonko Tanzania na mkoa wa Changuzo Burundi.
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na msafara wake wakikagua ujenzi wa daraja la Umoja litakalounganisha Kata ya Nyabibuye mkoani Kigoma na Burundi leo.
|
Wanafunzi wa Sekondari ya Nyamtukuza, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wakisomba mawe kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu shuleni hapo leo.
|
No comments:
Post a Comment